Ikicheza bila nyota wake Mooneyr pamoja Salmin vijana wa Kinido waliweza kujipatia ushindi mnono wa mabao 4 yaliyofungwa na mshambuliaji chipukizi Madenge huku captain wake akimaliza kama nyota wa mchezo huo. Ushindi huo ni wa 3 mfululizo kwa vijana hao wa magomeni