Monday, July 19, 2010

REAL MIKUMI YACHAPWA GOLI 5

Ikicheza bila nyota wake saleh, ibrinho, salmin, madenge, fopii, salim, muntasir ambao kocha aliamua kuwaweka benchi pasipokuwa na sababu yoyote ya msingi na kuwapanga wachezaji wasiokuwa na mazoezi kama vile chate, sagaf, dulla, musso, kalady,pamoja na uki vijana wa kinido walijikuta wakitandika 5 kwa 2 dhidi ya NUNGU FC wakiotawala sehemu kubwa ya mchezo  hii ni fundisho na shule tosha kwa kocha huyo

Sunday, July 18, 2010

WORLD CUP IS OVER WHAT HAVE WE LEARNT???????? part 1

KUANZIA  TIMU ZA NANE BORA NA TULIVYOJIFUNZA

GERMANY
Ndio timu iliyokuwa haipewi kipa umbele hasa kutokana na umri wa wachezaji wake kama  vile khedira, Oezil,boateng,MUELLER,Kroos, lakini imeonyesha maajabu ma hata kuleta gumzo

BRASIL
Walipewa nafasi kubwa ya kubeba kombe lakini yakiowakuta its a lifetime story HAWATASAHAU