Monday, July 19, 2010

REAL MIKUMI YACHAPWA GOLI 5

Ikicheza bila nyota wake saleh, ibrinho, salmin, madenge, fopii, salim, muntasir ambao kocha aliamua kuwaweka benchi pasipokuwa na sababu yoyote ya msingi na kuwapanga wachezaji wasiokuwa na mazoezi kama vile chate, sagaf, dulla, musso, kalady,pamoja na uki vijana wa kinido walijikuta wakitandika 5 kwa 2 dhidi ya NUNGU FC wakiotawala sehemu kubwa ya mchezo  hii ni fundisho na shule tosha kwa kocha huyo

No comments:

Post a Comment