Tuesday, May 18, 2010

mabadiliko ya nyimbo za kombe la dunia je ni sawa?

Ilianza ya k'naan waving flag ambayo ilibamba ile mbaya mpaka ikaifunika ile ya Akon ya oh africa na sasa iliyochaguliwa ni ya mwanamama Shakira a.k.a kiuno bila mfupa na kibao chake cha waka waka this time for africa

No comments:

Post a Comment